News and Updates

CHUO KIKUU MZUMBE CHAENDELEA KUBORESHA MBINU ZA UTENGENEZAJI MAUDHUI NA UFUNDISHAJI KWA NJIA YA MTANDAO

Chuo Kikuu Mzumbe kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi ‘HEET’ kimeandaa warsha ya siku tatu kuhusu utengenezaji wa Maudhui ya Kozi, Ujifunzaji Mseto na Ujifunzaji kwa Njia ya Mtandao inayofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 06 - 08… Read More

BARAZA LA WAFANYAKAZI WA CHUO KIKUU MZUMBE LAZINDULIWA RASMI

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha, ameongoza uzinduzi wa Baraza Jipya la Wafanyakazi, hafla iliyoangazia umuhimu wa mshikamano na ushirikiano kati ya uongozi na wafanyakazi wa chuo hicho. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 11 Desemba 2024,… Read More

KONGAMANO LA TAALUMA ZA MAENDELEO LAANGAZIA MAHITAJI YA DUNIA INAYOBADILIKA

Chuo Kikuu Mzumbe kwa kushirikiana na UDOM, SUA, UDSM na MUHAS kimeandaa Kongamano la Tatu la Kitaifa la Taaluma za Maendeleo ili kujadili mwelekeo wa maendeleo ya kijamii yaliyopita, ya sasa na yajayo, ili kukidhi mahitaji ya dunia inayokabiliwa na… Read More

Contact Us

Vice Chancellor,

Mzumbe University,

P.O.BOX 1,

Mzumbe, Morogoro.


Tel: +255 023 2604380/1/3/4
Fax: +255 023 2931216
Cell: +255 0754 694029
Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.